Faragha

Tunachukua namba ya simu (na jina ukilitoa) ili kukamilisha malipo na kukuwezesha kupakua tena. Hatuuzi wala kushiriki taarifa zako na mtu yeyote, isipokuwa watoa huduma wa malipo (Snippe, ClickPesa) kwa ajili ya kukamilisha malipo.

Ujumbe wa malipo hauonyeshi jina la kijitabu ulichonunua.

Tunatumia vidakuzi (cookies) na Facebook Pixel kupima matangazo yetu. Unaweza kuomba taarifa zako zifutwe kwa kutuandikia WhatsApp.