Msaada

Majibu ya maswali yanayoulizwa mara nyingi kuhusu kulipia na kupakua vijitabu.

Ninalipiaje?

Fungua kijitabu, weka namba yako ya simu, bonyeza “Lipia”. Utapokea ujumbe wa kuweka PIN. Ukishaweka, kitufe cha kupakua kinatokea.

Mitandao gani inakubalika?

M-Pesa (Vodacom), Mixx by Yas (Tigo), Airtel Money na HaloPesa.

Nimelipa lakini sijapata kijitabu

Fungua Nilizolipia na uweke namba uliyolipia. Kama bado, tuandikie WhatsApp ukitaja namba ya simu – tutakutumia ndani ya dakika chache.

Siwezi kufungua PDF

Simu nyingi zinafungua PDF moja kwa moja. Kama haifunguki, pakua programu ya bure “PDF Reader” au tumia kitufe cha “Soma sasa hivi”. Ukiwa ndani ya Facebook au WhatsApp, fungua link kwenye Chrome.

Naweza kuomba kijitabu cha tatizo langu?

Ndiyo. Tuandikie WhatsApp. Tunaandika vijitabu vipya kila wiki kulingana na maombi.

Ongea nasi WhatsApp