Tatizo lako lina suluhisho. Tumelieleza kwa Kiswahili rahisi.
Vijitabu vifupi (PDF) vya afya, familia, mapenzi, pesa na kujiamini. Lipia kwa simu kuanzia TSh 1,000 β pakua papo hapo.
β Vinavyopendwa zaidi
-33% Vidonda vya Tumbo: Pona na Visirudi
-38% Bawasiri: Tiba Nyumbani na Hospitali
-40% Kisukari: Mpango wa Chakula wa Siku 30
-40% Mba Kichwani: Kwa Nini Unarudi na Jinsi ya Kuumaliza
-43% Nywele Kukatika na Vipara: Chanzo na Suluhisho
-43% Madhara ya Kujichubua na Kurudisha Ngozi Yako
-40% 18+ Mbegu Chache za Kiume: Kipimo na Hatua
-40% Mimba Mwezi kwa Mwezi: Mwongozo wa Mama
π©Ί Afya ya Mwili
Ona zote (13) β
-33% Vidonda vya Tumbo: Pona na Visirudi
-38% Bawasiri: Tiba Nyumbani na Hospitali
-40% Kisukari: Mpango wa Chakula wa Siku 30
-40% Harufu Mbaya ya Mdomo: Iondoe kwa Siku 14
β¨ Ngozi na Nywele
Ona zote (5) β
-40% Mba Kichwani: Kwa Nini Unarudi na Jinsi ya Kuumaliza
-43% Nywele Kukatika na Vipara: Chanzo na Suluhisho
-43% Madhara ya Kujichubua na Kurudisha Ngozi Yako
-33% Madoa Meusi Usoni: Ondoa kwa Usalama
β€οΈ Uzazi na Mapenzi
Ona zote (9) β
-40% 18+ Mbegu Chache za Kiume: Kipimo na Hatua
-40% Mimba Mwezi kwa Mwezi: Mwongozo wa Mama
-33% 18+ Harufu Ukeni: Sababu na Suluhisho
-33% 18+ Kuacha Punyeto: Mpango wa Siku 30
πΆ Watoto na Familia
Ona zote (6) β
-40% Homa ya Mtoto: Lini Hospitali, Lini Nyumbani
-33% Kukojoa Kitandani: Suluhisho Kamili
-33% Mtoto Kuchelewa Kuongea: Hatua kwa Wazazi
-40% Simu na YouTube: Kumlinda Mtoto
π° Pesa na Biashara
Ona zote (8) β
-50% Haki Zako Ukidaiwa na App za Mikopo
-40% Ufugaji wa Kuku Chotara na Kienyeji kwa Mtaji Mdogo
-43% Kusajili Biashara: BRELA, TIN na Leseni
-43% Biashara 20 za Mtaji wa TSh 50,000
π Kazi na Elimu
Ona zote (4) β
-43% Ajira Portal: Jaza Profile Isikataliwe
-38% Usaili wa Serikali: Maswali na Jinsi ya Kujibu
-40% Barua za Maombi ya Kazi: Mifano Tayari
-43% Excel na Kompyuta za Ofisini kwa Wanaoanza
π± Teknolojia
Ona zote (3) β
-50% WhatsApp Imedukuliwa: Irudishe na Ujikinge
-33% Simu Kujaa na Kustack: Iharakishe Bila Kununua Mpya
-40% Huduma za Serikali Mtandaoni: NIDA, TIN, Leseni, Vyeti
π Ardhi na Sheria
Ona zote (4) β
-40% Hati Miliki ya Kiwanja: Hatua kwa Hatua
-38% Mirathi: Ndugu Akifariki, Mali Inagawanywaje?
-43% Kununua Kiwanja Bila Kutapeliwa
-50% Mkataba wa Kupanga Nyumba: Haki za Mpangaji na Mwenye Nyumba
π§ Akili na Mahusiano
Ona zote (3) β
-43% Msongo wa Mawazo na Kufikiri Kupita Kiasi
-43% Jenga Kujiamini kwa Siku 21
-33% Kupona Baada ya Kuachwa
Inavyofanya kazi
Chagua kijitabu
Tafuta tatizo lako na usome kitakachokufundisha.
Lipia kwa simu
Weka namba yako. Utapokea ujumbe wa kuweka PIN kwenye simu.
Pakua na usome
Ukishalipa, kitufe cha kupakua kinatokea hapo hapo. Kinabaki "Nilizolipia".
Maswali ya mara kwa mara
Nitapataje kijitabu baada ya kulipa?
Ukishaweka PIN, ukurasa unabadilika wenyewe na kukuonyesha kitufe cha "Pakua". Unaweza pia kufungua "Nilizolipia" wakati wowote na kuweka namba uliyolipia.
Ni salama na siri?
Ndiyo. Hatuweki jina la kijitabu kwenye ujumbe wa malipo. Hakuna anayejua ulichonunua.
Nisipopata ujumbe wa PIN?
Hakikisha simu iko hewani na ina salio. Bonyeza "Tuma tena" kwenye ukurasa wa oda, au tuandikie WhatsApp.
Je, hii inachukua nafasi ya daktari?
Hapana. Vijitabu vya afya ni elimu ya kukusaidia kuelewa na kuchukua hatua sahihi. Kwa dawa yoyote fuata ushauri wa daktari.