
Angalia ndani


Haki Zako Ukidaiwa na App za Mikopo
Wanachokatazwa wakopeshaji wa mtandaoni na BoT, jinsi ya kuangalia kama wana leseni, kulalamika, na mpango wa kujinasua kwenye madeni.
TSh 1,500TSh 3,000
Utajifunza nini
- Mikopo ya 'kausha damu' ni nini
- Vitendo 6 BoT imevikataza
- Kuangalia kama mkopeshaji ana leseni
- Kusoma mkataba: riba na gharama zilizofichwa
- Jinsi ya kulalamika hatua kwa hatua
- Mpango wa kulipa madeni (mbinu 2)
- Usikope kulipa deni: njia mbadala
Angalia ndani


Kuhusu kijitabu hiki
Wakopeshaji wa mtandaoni wamekuwa wakiwatumia ndugu zako meseji na kukudhalilisha mitandaoni. Benki Kuu imepiga marufuku vitendo hivi. Jua haki zako na jinsi ya kutoka kwenye mzunguko wa madeni.
Kwa ajili ya: Wanaokopa kupitia app za simu, wafanyabiashara wadogo, vijana
Vijitabu vingine vinavyohusiana
Kurasa 7 · dakika 14
Kusajili Biashara: BRELA, TIN na Leseni
Hatua kwa hatua: jina la biashara au kampuni, TIN ya mtu binafsi na ya biashara, leseni ya halmashauri, kodi ya mwanzo, na makosa ya kuepuka.
TSh 2,000TSh 3,500
Kurasa 9 · dakika 18
Ufugaji wa Kuku Chotara na Kienyeji kwa Mtaji Mdogo
Kuchagua aina, banda bora, kulea vifaranga, chakula, ratiba ya chanjo, kuzuia magonjwa, hesabu ya faida, na masoko.
TSh 3,000TSh 5,000
Kurasa 7 · dakika 14
Biashara 20 za Mtaji wa TSh 50,000
Mawazo 20 yanayoanzishwa kwa mtaji mdogo, jinsi ya kuchagua inayokufaa, kupiga hesabu ya faida, na kanuni 7 za kukuza biashara ndogo.
TSh 2,000TSh 3,500
Kurasa 7 · dakika 14
Kuuza Mtandaoni kwa Instagram na WhatsApp Business
Kufungua akaunti za biashara, picha nzuri kwa simu, kuandika maelezo yanayouza, ratiba ya kupost, kupokea malipo salama, matangazo kwa bajeti ndogo.
TSh 3,000TSh 5,000
TSh 1,500
Nunua