
Angalia ndani


Kusajili Biashara: BRELA, TIN na Leseni
Hatua kwa hatua: jina la biashara au kampuni, TIN ya mtu binafsi na ya biashara, leseni ya halmashauri, kodi ya mwanzo, na makosa ya kuepuka.
TSh 2,000TSh 3,500
Utajifunza nini
- Faida 5 za kurasimisha biashara
- Jina la biashara vs kampuni – ipi ikufae
- Hatua za BRELA mtandaoni
- TIN ya mtu binafsi na ya biashara
- Leseni ya biashara ya halmashauri
- Kodi na kumbukumbu za mwanzo
- Orodha ya nyaraka
Angalia ndani


Kuhusu kijitabu hiki
Biashara rasmi inaaminika na wateja, inapata tenda, mikopo ya benki na fursa za kimataifa. Mchakato mwingi sasa unafanyika mtandaoni.
Kwa ajili ya: Wajasiriamali wanaotaka kurasimisha biashara
Vijitabu vingine vinavyohusiana
Kurasa 8 · dakika 16
Haki Zako Ukidaiwa na App za Mikopo
Wanachokatazwa wakopeshaji wa mtandaoni na BoT, jinsi ya kuangalia kama wana leseni, kulalamika, na mpango wa kujinasua kwenye madeni.
TSh 1,500TSh 3,000
Kurasa 9 · dakika 18
Ufugaji wa Kuku Chotara na Kienyeji kwa Mtaji Mdogo
Kuchagua aina, banda bora, kulea vifaranga, chakula, ratiba ya chanjo, kuzuia magonjwa, hesabu ya faida, na masoko.
TSh 3,000TSh 5,000
Kurasa 7 · dakika 14
Biashara 20 za Mtaji wa TSh 50,000
Mawazo 20 yanayoanzishwa kwa mtaji mdogo, jinsi ya kuchagua inayokufaa, kupiga hesabu ya faida, na kanuni 7 za kukuza biashara ndogo.
TSh 2,000TSh 3,500
Kurasa 7 · dakika 14
Kuuza Mtandaoni kwa Instagram na WhatsApp Business
Kufungua akaunti za biashara, picha nzuri kwa simu, kuandika maelezo yanayouza, ratiba ya kupost, kupokea malipo salama, matangazo kwa bajeti ndogo.
TSh 3,000TSh 5,000
TSh 2,000
Nunua