Kuuza Mtandaoni kwa Instagram na WhatsApp Business

Angalia ndani

Kuuza Mtandaoni kwa Instagram na WhatsApp Business

Kufungua akaunti za biashara, picha nzuri kwa simu, kuandika maelezo yanayouza, ratiba ya kupost, kupokea malipo salama, matangazo kwa bajeti ndogo.

Kurasa 7 Dakika 14 kusoma Kiswahili rahisi
TSh 3,000TSh 5,000

M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Utapokea ujumbe kwenye simu, weka PIN. Kijitabu kinafunguka hapa hapa.

Utajifunza nini

  • WhatsApp Business: katalogi, majibu ya haraka, lebo
  • Instagram ya biashara: wasifu unaouza
  • Picha 5 bora kwa simu
  • Kuandika maelezo (captions) yanayouza
  • Ratiba ya kupost ya wiki
  • Malipo na usafirishaji salama
  • Matangazo ya TSh 5,000–20,000
  • Kujikinga na matapeli

Angalia ndani

Kuhusu kijitabu hiki

Watanzania wengi hununua kupitia kurasa za mitandao ya kijamii na kulipa kwa simu. Jifunze kuweka duka lako mfukoni kwa hatua rahisi.

Kwa ajili ya: Wauzaji wa maduka, wajasiriamali wa nyumbani, wanaoanza biashara mtandaoni

Vijitabu vingine vinavyohusiana

TSh 3,000
Nunua