Kukojoa Kitandani: Suluhisho Kamili

Angalia ndani

Kukojoa Kitandani: Suluhisho Kamili

Hatua 4 zilizothibitishwa na madaktari – kwa watoto na watu wazima

Kurasa 12 Dakika 24 kusoma Kiswahili rahisi
TSh 3,000TSh 4,500

M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Utapokea ujumbe kwenye simu, weka PIN. Kijitabu kinafunguka hapa hapa.

Utajifunza nini

  • Sababu 7 za kukojoa kitandani (pamoja na tonsili na choo kigumu)
  • Kwa nini kumpiga mtoto kunaongeza tatizo
  • Ratiba ya maji na vinywaji vya kuepuka jioni
  • Chati ya nyota na zawadi – tayari kuchapisha
  • Kengele ya mkojo: njia inayofaulu kwa watoto 2 kati ya 3
  • Dawa zinazotumika na tahadhari zake
  • Watu wazima: sababu na vipimo vya kuomba hospitalini
  • Miti shamba: ukweli – ipi salama, ipi hatari
  • Mpango wa siku 30

Angalia ndani

Kuhusu kijitabu hiki

Mtoto wako bado anakojoa kitandani? Au wewe mwenyewe ukiwa mtu mzima? Hauko peke yako – utafiti wa MUHAS ulikuta mtoto 1 kati ya 5 Morogoro anakojoa kitandani. Habari njema: linatibika.

Kijitabu hiki kinakueleza kwa Kiswahili rahisi kwa nini hutokea, na hatua kwa hatua jinsi ya kulimaliza.

Kwa ajili ya: Wazazi, walezi, vijana na watu wazima

Vijitabu vingine vinavyohusiana

TSh 3,000
Nunua