Barua za Maombi ya Kazi: Mifano Tayari

Angalia ndani

Barua za Maombi ya Kazi: Mifano Tayari

Muundo sahihi wa barua, mifano 5 tayari kunakili (serikali, kampuni, internship, kujitolea, kazi bila uzoefu), na barua pepe ya kutuma CV.

Kurasa 9 Dakika 18 kusoma Kiswahili rahisi
TSh 1,500TSh 2,500

M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Utapokea ujumbe kwenye simu, weka PIN. Kijitabu kinafunguka hapa hapa.

Utajifunza nini

  • Muundo wa barua rasmi (mchoro)
  • Kanuni 8 za barua nzuri
  • Mfano: kazi ya serikali
  • Mfano: kampuni binafsi (Kiingereza)
  • Mfano: internship / mafunzo kwa vitendo
  • Mfano: kazi bila uzoefu
  • Barua pepe ya kutuma CV

Angalia ndani

Kuhusu kijitabu hiki

Barua ya maombi ndiyo kitu cha kwanza mwajiri anasoma. Barua nzuri, fupi na iliyolenga kazi husika huongeza nafasi ya kuitwa.

Kwa ajili ya: Wahitimu na wote wanaoomba kazi

Vijitabu vingine vinavyohusiana

TSh 1,500
Nunua