4 vijitabu
Kurasa 6 · dakika 12
Ajira Portal: Jaza Profile Isikataliwe
Kujisajili, kujaza kila sehemu kwa usahihi, vyeti na uthibitisho, kuomba kazi inayokufaa, kufuatilia kuitwa kwenye usaili, na makosa 10 yanayokufanya usiitwe.
TSh 2,000TSh 3,500
Kurasa 6 · dakika 12
Usaili wa Serikali: Maswali na Jinsi ya Kujibu
Hatua za usaili (mchujo, maandishi, mahojiano), aina za maswali ya jumla na ya kitaaluma, mbinu ya STAR ya kujibu, maandalizi ya siku ya usaili.
TSh 2,500TSh 4,000
Kurasa 9 · dakika 18
Barua za Maombi ya Kazi: Mifano Tayari
Muundo sahihi wa barua, mifano 5 tayari kunakili (serikali, kampuni, internship, kujitolea, kazi bila uzoefu), na barua pepe ya kutuma CV.
TSh 1,500TSh 2,500
Kurasa 6 · dakika 12
Excel na Kompyuta za Ofisini kwa Wanaoanza
Ujuzi wa msingi unaoombwa kazini: kupanga faili, Word, Excel (formula 10 muhimu), barua pepe ya kitaaluma, na mazoezi ya vitendo.
TSh 2,000TSh 3,500