
Angalia ndani


Usaili wa Serikali: Maswali na Jinsi ya Kujibu
Hatua za usaili (mchujo, maandishi, mahojiano), aina za maswali ya jumla na ya kitaaluma, mbinu ya STAR ya kujibu, maandalizi ya siku ya usaili.
TSh 2,500TSh 4,000
Utajifunza nini
- Hatua 3 za usaili wa serikali
- Mada za maswali ya jumla (sera, utumishi, maadili)
- Maswali ya kitaaluma: jinsi ya kujiandaa
- Maswali 15 ya mahojiano na mifano ya majibu
- Mbinu ya STAR
- Mavazi, nyaraka na siku ya usaili
Angalia ndani


Kuhusu kijitabu hiki
Kuitwa kwenye usaili ni nusu ya safari. Maandalizi sahihi ndiyo yanayokutofautisha na mamia ya waombaji wengine.
Kwa ajili ya: Walioitwa kwenye usaili wa serikali na taasisi za umma
Vijitabu vingine vinavyohusiana
Kurasa 6 · dakika 12
Ajira Portal: Jaza Profile Isikataliwe
Kujisajili, kujaza kila sehemu kwa usahihi, vyeti na uthibitisho, kuomba kazi inayokufaa, kufuatilia kuitwa kwenye usaili, na makosa 10 yanayokufanya usiitwe.
TSh 2,000TSh 3,500
Kurasa 9 · dakika 18
Barua za Maombi ya Kazi: Mifano Tayari
Muundo sahihi wa barua, mifano 5 tayari kunakili (serikali, kampuni, internship, kujitolea, kazi bila uzoefu), na barua pepe ya kutuma CV.
TSh 1,500TSh 2,500
Kurasa 6 · dakika 12
Excel na Kompyuta za Ofisini kwa Wanaoanza
Ujuzi wa msingi unaoombwa kazini: kupanga faili, Word, Excel (formula 10 muhimu), barua pepe ya kitaaluma, na mazoezi ya vitendo.
TSh 2,000TSh 3,500
Kurasa 12 · dakika 24
Vidonda vya Tumbo: Pona na Visirudi
Chanzo halisi (sio pilipili!), vipimo, dawa zinazotibu kweli, chakula sahihi, na kwa nini vidonda hurudi.
TSh 3,000TSh 4,500
TSh 2,500
Nunua