
Angalia ndani


Ajira Portal: Jaza Profile Isikataliwe
Kujisajili, kujaza kila sehemu kwa usahihi, vyeti na uthibitisho, kuomba kazi inayokufaa, kufuatilia kuitwa kwenye usaili, na makosa 10 yanayokufanya usiitwe.
TSh 2,000TSh 3,500
Utajifunza nini
- Ajira Portal ni nini
- Hatua za kujisajili
- Kujaza profile 100%: kila sehemu
- Vyeti: kupakia na kuthibitisha
- Kusoma tangazo la kazi kwa makini
- Kufuatilia majina ya walioitwa
- Makosa 10 yanayokunyima usaili
Angalia ndani


Kuhusu kijitabu hiki
Wengi wanalalamika: 'Kila nikiomba kazi Ajira Portal siitwi hata kwenye usaili.' Mara nyingi chanzo ni profile isiyokamilika au kuomba kazi bila kukidhi vigezo.
Kwa ajili ya: Wahitimu wa vyuo na sekondari wanaotafuta ajira serikalini
Vijitabu vingine vinavyohusiana
Kurasa 6 · dakika 12
Usaili wa Serikali: Maswali na Jinsi ya Kujibu
Hatua za usaili (mchujo, maandishi, mahojiano), aina za maswali ya jumla na ya kitaaluma, mbinu ya STAR ya kujibu, maandalizi ya siku ya usaili.
TSh 2,500TSh 4,000
Kurasa 9 · dakika 18
Barua za Maombi ya Kazi: Mifano Tayari
Muundo sahihi wa barua, mifano 5 tayari kunakili (serikali, kampuni, internship, kujitolea, kazi bila uzoefu), na barua pepe ya kutuma CV.
TSh 1,500TSh 2,500
Kurasa 6 · dakika 12
Excel na Kompyuta za Ofisini kwa Wanaoanza
Ujuzi wa msingi unaoombwa kazini: kupanga faili, Word, Excel (formula 10 muhimu), barua pepe ya kitaaluma, na mazoezi ya vitendo.
TSh 2,000TSh 3,500
Kurasa 12 · dakika 24
Vidonda vya Tumbo: Pona na Visirudi
Chanzo halisi (sio pilipili!), vipimo, dawa zinazotibu kweli, chakula sahihi, na kwa nini vidonda hurudi.
TSh 3,000TSh 4,500
TSh 2,000
Nunua