Mimba Mwezi kwa Mwezi: Mwongozo wa Mama

Angalia ndani

Mimba Mwezi kwa Mwezi: Mwongozo wa Mama

Mabadiliko ya mtoto na mama kila mwezi, kliniki na vipimo, chakula, vitu vya kuepuka, dalili za hatari, na maandalizi ya kujifungua.

Kurasa 8 Dakika 16 kusoma Kiswahili rahisi
TSh 3,000TSh 5,000

M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Utapokea ujumbe kwenye simu, weka PIN. Kijitabu kinafunguka hapa hapa.

Utajifunza nini

  • Kabla ya mimba: folic acid
  • Mwezi 1 hadi 9: mtoto na mama
  • Kliniki: mara ngapi na vipimo gani
  • Chakula na virutubisho
  • Vitu 10 vya kuepuka
  • Dalili 10 za hatari
  • Begi la kujifungulia
  • Baada ya kujifungua

Angalia ndani

Kuhusu kijitabu hiki

Mimba ya kwanza huja na maswali mengi. Mwongozo huu unakueleza kwa urahisi kila hatua kuanzia kipimo chanya hadi siku ya kujifungua.

Kwa ajili ya: Wajawazito, wanaopanga mimba, na wenzi wao

Vijitabu vingine vinavyohusiana

TSh 3,000
Nunua