Huduma za Serikali Mtandaoni: NIDA, TIN, Leseni, Vyeti

Angalia ndani

Huduma za Serikali Mtandaoni: NIDA, TIN, Leseni, Vyeti

Mwongozo wa huduma muhimu za serikali unazoweza kuanza mtandaoni: kitambulisho cha taifa, TIN, leseni ya udereva, cheti cha kuzaliwa, ardhi, na kulipa kwa control number.

Kurasa 4 Dakika 8 kusoma Kiswahili rahisi
TSh 1,500TSh 2,500

M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Utapokea ujumbe kwenye simu, weka PIN. Kijitabu kinafunguka hapa hapa.

Utajifunza nini

  • Kanuni za usalama za tovuti za serikali (.go.tz)
  • NIDA: kuangalia na kufuatilia namba
  • TIN ya mtu binafsi mtandaoni
  • Leseni ya udereva
  • Cheti cha kuzaliwa (RITA)
  • Ardhi (e-Ardhi)
  • Kulipa kwa control number
  • Malalamiko: e-Mrejesho

Angalia ndani

Kuhusu kijitabu hiki

Huduma nyingi za serikali sasa zinaanzia mtandaoni. Kujua mahali sahihi kunakuokoa muda, nauli na matapeli wanaojifanya 'mawakala'.

Kwa ajili ya: Kila Mtanzania anayetaka kuokoa muda wa foleni

Vijitabu vingine vinavyohusiana

TSh 1,500
Nunua