Uzazi wa Mpango: Chagua Njia Inayokufaa

Angalia ndani

Uzazi wa Mpango: Chagua Njia Inayokufaa

Njia zote kwa jedwali moja: ufanisi, muda, madhara ya kweli, kurudi kwa uwezo wa kuzaa, na hadithi za mitaani zisizo za kweli.

Kurasa 7 Dakika 14 kusoma Kiswahili rahisi
TSh 2,000TSh 3,000

M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Utapokea ujumbe kwenye simu, weka PIN. Kijitabu kinafunguka hapa hapa.

Utajifunza nini

  • Jedwali la njia zote na ufanisi wake
  • Madhara ya kweli ya kila njia
  • Uwezo wa kuzaa unarudi lini?
  • Kidonge cha dharura: kinavyofanya kazi
  • Njia za asili: zinavyohesabiwa
  • Hadithi 7 za mitaani
  • Wapi kupata huduma (bure)

Angalia ndani

Kuhusu kijitabu hiki

Watu wengi huacha au huogopa uzazi wa mpango kwa sababu ya hadithi za mitaani. Jifunze ukweli wa kila njia ili uchague kwa uhuru.

Kwa ajili ya: Wanawake, wanaume na wanandoa wanaopanga familia

Vijitabu vingine vinavyohusiana

TSh 2,000
Nunua