Matapeli wa Mobile Money na Mtandaoni: Jilinde

Angalia ndani

Matapeli wa Mobile Money na Mtandaoni: Jilinde

Mbinu 10 za matapeli Tanzania, dalili za utapeli, kulinda PIN na SIM, na hatua za haraka ukishatapeliwa.

Kurasa 5 Dakika 10 kusoma Kiswahili rahisi
TSh 1,000TSh 2,000

M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Utapokea ujumbe kwenye simu, weka PIN. Kijitabu kinafunguka hapa hapa.

Utajifunza nini

  • Mbinu 10 za matapeli
  • Kanuni 7 za usalama
  • SIM swap: jinsi ya kujikinga
  • Ajira na mikopo ya uongo
  • Hatua za haraka ukitapeliwa
  • Kuripoti ujumbe wa kitapeli

Angalia ndani

Kuhusu kijitabu hiki

Matapeli wanabuni mbinu mpya kila siku. Kujua mbinu zao ndiyo kinga kubwa zaidi.

Kwa ajili ya: Kila mtumiaji wa M-Pesa, Mixx, Airtel Money, HaloPesa na WhatsApp

Vijitabu vingine vinavyohusiana

TSh 1,000
Nunua